Joshua 9:24

24Wakamjibu Yoshua, “Watumwa wako waliambiwa waziwazi jinsi Bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyomwamuru mtumishi wake Musa kuwapa ninyi nchi hii yote na kuwaangamiza wakazi wake wote toka mbele zenu. Kwa hiyo tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, ndiyo maana tukafanya neno hili.
Copyright information for SwhKC